Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

1724057463047.jpg

Mimi nipo na ephen_ nabaki kucheka tu nyuzi za hivi😁😁
 
🤣🤣🤣🤣 nilijua tu 🤣

Juzi niko zangu A town kuna mmoja nikamwambia niko mjini kwako hapa.
Akajibu simple tu Ok.

Nikasema huyu leo haombi hela, mhh!
Imefika Jioni naona meseji.
Hey buddy 🤗. I want to offer you something.
🤣 nikacheka sana.
Siku reply!! akajiongeza mwenyewe tu,
just give me 50k and I will offer you my pussy the whole night.🤣🤣🤣
Ni sex worker?
 
Wadada wanaigiza kuingia kwenye mahusiano ili kupata mahitaji yao ya msingi hasa yahusuyo fedha, huku mwanaume akiaminishwa kupendwa kweli, kumbe ni utapeli mtupu.

Na hii inakuja kujulikana pale mwanaume anaposhindwa kutimiza mahitaji ya mwanamke yahusuyo fedha, na kuanza kutokea mifarakano pamoja na kuachana.

Wengine wakitumiwa nauli hawafiki, zaidi ya kuila ile nauli bila kujali huyo aliyetoa hiyo fedha amejinyima vitu vingapi.

Kuanzia sasa tunaanza kukemea hilo pepo la kutumia mahusiano kama chanzo cha mapato.

View attachment 3075790

Mbona Ghafla sana 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom