Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

Ndio maana unakuta vijana vi benten ni wengi...
Mwanaume ni kukomaa tu mwanzo mwisho akuna kulalamika lalamika..

Ndo maana mimi kuepukana na hayo mambo huwa nakula wadada ambao tayari wapo katika mahusiano yao..

Mambo ya kuwekana fursa sitaki
 
Wadada wanaigiza kuingia kwenye mahusiano ili kupata mahitaji yao ya msingi hasa yahusuyo fedha, huku mwanaume akiaminishwa kupendwa kweli, kumbe ni utapeli mtupu.

Na hii inakuja kujulikana pale mwanaume anaposhindwa kutimiza mahitaji ya mwanamke yahusuyo fedha, na kuanza kutokea mifarakano pamoja na kuachana.

Wengine wakitumiwa nauli hawafiki, zaidi ya kuila ile nauli bila kujali huyo aliyetoa hiyo fedha amejinyima vitu vingapi.

Kuanzia sasa tunaanza kukemea hilo pepo la kutumia mahusiano kama chanzo cha mapato.

View attachment 3075790
Sijui kwanini nimecheka🤣
 
🤣🤣🤣🤣 nilijua tu 🤣

Juzi niko zangu A town kuna mmoja nikamwambia niko mjini kwako hapa.
Akajibu simple tu Ok.

Nikasema huyu leo haombi hela, mhh!
Imefika Jioni naona meseji.
Hey buddy 🤗. I want to offer you something.
🤣 nikacheka sana.
Siku reply!! akajiongeza mwenyewe tu,
just give me 50k and I will offer you my pussy the whole night.🤣🤣🤣
Nipe namba yake mkuu
 
Mi kwa sasa ukiomba hela tu nikikuhurumiaipokei sinu zako ila ya kisukuma yakipanda unakula block maisha yanaendelea. Nlisomesha mchumbaMOCU dadeki alichonifanya nlitamani kufa, coz nlikuwa na mkopo mkubwa bank napokea 1/3 ya mshahara nasomesha mtoto wangu 1 familia inaniangalia, msenge yule nlikuwa nakopa mkopo umiza namtumia hela kumbe maku yule ana msela mavi wanasoma naye anagonga kila siku kwenye room ninayolipia na kitsnda nlichonunua mm. Wanawake baadhi yenu ni mashetani. Nlikata msaada wangu dogo yule akaja kuuza K saiz anauza duka la nguo na anajiuza pia.maana anatokea familia maskini sana
 
Maisha mjini ni magumu mazee , hata mshahara wa M3 ni foolish hapa mjini , dada zetu uwezo wa kutafta mdogo na mahtaji lazima wapate , Kwa vyovyote vile lazima wapige vizinga huku na kule , kama Una demu wako Unampenda Kwa hapa mjini mhudumie tuu kadr unavyoweza , kama huna pesa hapa mjini achana tuu na mapenzi , kama vip nenda kijijini ukaoe , au uwe unanunua malaya , demu yyte mwenye mvuto hapa mjini ni ngumu kumtuliza kama pesa ya kuunga unga
 
Mi kwa sasa ukiomba hela tu nikikuhurumiaipokei sinu zako ila ya kisukuma yakipanda unakula block maisha yanaendelea. Nlisomesha mchumbaMOCU dadeki alichonifanya nlitamani kufa, coz nlikuwa na mkopo mkubwa bank napokea 1/3 ya mshahara nasomesha mtoto wangu 1 familia inaniangalia, msenge yule nlikuwa nakopa mkopo umiza namtumia hela kumbe maku yule ana msela mavi wanasoma naye anagonga kila siku kwenye room ninayolipia na kitsnda nlichonunua mm. Wanawake baadhi yenu ni mashetani. Nlikata msaada wangu dogo yule akaja kuuza K saiz anauza duka la nguo na anajiuza pia.maana anatokea familia maskini sana
Kwahiyo ulikuwa na mke na mtoto afu bado ukawa unatembea na demu wa chuo?
 
🤣🤣🤣🤣 nilijua tu 🤣

Juzi niko zangu A town kuna mmoja nikamwambia niko mjini kwako hapa.
Akajibu simple tu Ok.

Nikasema huyu leo haombi hela, mhh!
Imefika Jioni naona meseji.
Hey buddy 🤗. I want to offer you something.
🤣 nikacheka sana.
Siku reply!! akajiongeza mwenyewe tu,
just give me 50k and I will offer you my pussy the whole night.🤣🤣🤣

Ujamalizia story
 
Back
Top Bottom