miCCM haijawahi kuwa na nia ya dhati ya kuponya hii nchi, muda wote wao ni MZAHA MZAHA tu, kuanzia uundaji wa hii Tume, Mchakato wa kumpata Mgombea wao, tume ya "Uchaguzi" na hata huko "Bungeni" na style yao mpya ya kuhusu utaratibu/taarifa..UJINGA
CHADEMA n Wanaharakati shikirieni hapo hapo, soon kunapambazuka