Wamekataliwa ndani na wananchi, wamekataliwa na Jumuiya ya Kimataifa, kwenye hili Jeshi mshindwe nyie tu

Wamekataliwa ndani na wananchi, wamekataliwa na Jumuiya ya Kimataifa, kwenye hili Jeshi mshindwe nyie tu

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa wale wanaobeti sijui hapa tusemeje?

Ni kama mkeka umetiki wote.

Ndani ya nchi wananchi hawawataki kabisa, Nje ya nchi Jumuiya ya Kimataifa imewakataa na inawalaani kila kona.

Kati ya mwaka ambao Jeshi wamenyooshewa kila kitu ni mwaka huu. Washindwe wao tu maana Wananchi wote tunataka Wachukue Nchi na Jumuiya ya Kimataifa inawaambia nyie hamjui cha kufanya??

Ukisikia mapinduzi yatakayoungwa mkono kuanzia ndani ya nchi hadi na Jumuiya ya Kimataifa ndo haya.

Wananchi tufanye yetu hiyo Oktoba 29.
 
Na safari hii JW wakishindwa kuwa upande wa wananchi basi wabadilishe jina liitwe Jeshi la Kulinda Mafisadi au JKM.
Nina taarifa za kutosha tu kutoka kwa hao jamaa. Wengi wako upande wa wananchi kama lilivyo jina lao. Changamoto kwao, hawawezi kuunga mkono kama hao wananchi hawatatoka.
 
Ishu ni nani atakuwa kiongozi wa mapinduzi hayo? Ni ngumu kutokea kitu hicho kama hawajajipanga
 
Sanduku la kura linaonekana kama mdoli tu, wananchi wamechoka na sarakasi zake, sasa wanataka njia mbadala yoyote ile mradi tu wapate mabadiliko ya kisiasa
 
Unasema wamekataliwa na jumuiya za kimataifa, wakati Jana jumuiya SADC imeleta waangalizi na mpaka Sasa wametoa hoja ya kuridhika na maandalizi ya uchaguzi. Kila kitu kinaenda sawia.
 
Kwa wale wanaobeti sijui hapa tusemeje?

Ni kama mkeka umetiki wote.

Ndani ya nchi wananchi hawawataki kabisa, Nje ya nchi Jumuiya ya Kimataifa imewakataa na inawalaani kila kona.

Kati ya mwaka ambao Jeshi wamenyooshewa kila kitu ni mwaka huu. Washindwe wao tu maana Wananchi wote tunataka Wachukue Nchi na Jumuiya ya Kimataifa inawaambia nyie hamjui cha kufanya??

Ukisikia mapinduzi yatakayoungwa mkono kuanzia ndani ya nchi hadi na Jumuiya ya Kimataifa ndo haya.

Wananchi tufanye yetu hiyo Oktoba 29.
Ukisikia mapinduzi yatakayoungwa mkono kuanzia ndani ya nchi hadi na Jumuiya ya Kimataifa ndo haya.
 
Unasema wamekataliwa na jumuiya za kimataifa, wakati Jana jumuiya SADC imeleta waangalizi na mpaka Sasa wametoa hoja ya kuridhika na maandalizi ya uchaguzi. Kila kitu kinaenda sawia.
SADC nayo utaiweka kwenye Jumuiya za Kimataifa?

Hiki si kikundi cha wahuni tu.

Mwenyekiti tu Jeshi lishamkimbiza anaishi ufaransa.

SADC, AU, EAC hivi ni vikundi vya wahuni tu. Sio jumuiya ya kimataifa.
 
Oktoba 29 ni ama wananchi tuchukue nchi au Jeshi lichukue nchi
 
G3t-5hvWEAAJatq.jpeg
 
Back
Top Bottom