Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa wale wanaobeti sijui hapa tusemeje?
Ni kama mkeka umetiki wote.
Ndani ya nchi wananchi hawawataki kabisa, Nje ya nchi Jumuiya ya Kimataifa imewakataa na inawalaani kila kona.
Kati ya mwaka ambao Jeshi wamenyooshewa kila kitu ni mwaka huu. Washindwe wao tu maana Wananchi wote tunataka Wachukue Nchi na Jumuiya ya Kimataifa inawaambia nyie hamjui cha kufanya??
Ukisikia mapinduzi yatakayoungwa mkono kuanzia ndani ya nchi hadi na Jumuiya ya Kimataifa ndo haya.
Wananchi tufanye yetu hiyo Oktoba 29.