Wamekopa magari uko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni.
Mdhamini atatoa mabasi matatu;
🚍 Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team
🚐 Basi la pili litatumiwa na Simba Queens
🚌 Basi la tatu litatumiwa na timu ya vijana (Simba Youth)
Africarriers ni kampuni ambayo inajihusisha na biashara ya kuuza na kukopesha magari nchini. #NguvuMoja
 
So timu ya tajiri hii, tena imekuwaje timu tajiri kukopa nakati timu maskini hazijakopa [emoji848]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hebu elezea vizuri wamekopaje Mkuu, tofauti na hapo utakuwa na hila,roho mbaya,roho ya kishetani au unaleta unazi kwenye jambo ambalo ni serious,umeifuatilia vizuri press conference?
 
Hebu elezea vizuri wamekopaje Mkuu, tofauti na hapo utakuwa na hila,roho mbaya,roho ya kishetani au unaleta unazi kwenye jambo ambalo ni serious,umeifuatilia vizuri press conference?
Mkuu huwajui Uto? Subiri tu muda si mrefu ma ajent wao watakuja na takwimu kueleza nani wa kwanza kumiliki usafiri katika timu za KariakooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sasa huo mkopo uko wapi hapo?
Nyie ndo mnasababisha mpaka bange iwe kosa la jinai
 
Simba imeingia mkataba na kampuni ya usafirishaji na ukopeshaji magari ya Africarriers co. Ltd kwa miaka minne (4) wenye fedha za kitanzania milioni mia nane (800) sambamba na mabasi matatu.

Mabasi hayo yatatumiwa na timu kubwa (senior team), Simba Queens na timu ya vijana mtawalia.

Huo mkopo uko wapi? Huo ni mkataba na siyo mkopo, utopolo mtakufa kwa presha.
 
Wezi wa kuku hawa hata kusoma hawajuai wasamehe bure
 
una tegemea nn kutoka kwa utopolo kama huu



 
Yani Kuna kundi dogo la wanayanga linafanya yanga wote waonekane maguluguja.
Hata Kama kujifaliji asa hapo ndio umeposti na roho yako kwatu?
 
Africarriers ni kampuni wahindi ya kuuza na kukopesha magari, kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa isije ikatokea huko mbeleni tukaambiwa kwamba haya magari tulikopa na tunatakiwa kulipa
 
Mbona habari njema hii,milioni 800 na magari matatu.
kumbuka hata Man U,Madrid,Barca zinakopa sembuse kwa Simba!
Hiyo kampuni inauza magari na kukopesha ,wameidhamini Simba mil 800 na magari matatu juu,hamna gari iliyokopwa hapo
 
Hata kama haipo ni kawaida kwa taasisi kama Simba kukopa.kama haipo leo inaweza ikawa siku zijazo mleta mada asione ajabu.
Sasa hivi wanaponda tuwazoee tu ,baadaye watapitia mlango wa nyuma wafanye hivo hivo na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…