B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni.
Mdhamini atatoa mabasi matatu;
π Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team
π Basi la pili litatumiwa na Simba Queens
π Basi la tatu litatumiwa na timu ya vijana (Simba Youth)
Africarriers ni kampuni ambayo inajihusisha na biashara ya kuuza na kukopesha magari nchini. #NguvuMoja