Hahahahahaha wew jamaa kiboko aiiiseeew noma sanAWaliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui hawa,,nikawaomba kuwa admin kwa kisingizio cha kutaka kuwaad wadada warembo kwenye group lao
Heeee siwakanipa UADMIN bwana[emoji75] [emoji75] [emoji75]
Nliwatoa wote kwenye group,nkabaki mwenyewe[emoji23] [emoji23]
Walikoma
Au ile ya bwana yuleAisee naona ulitumia staili ya kutokufuata sheria kama yule Juma Ponda Mali
Afu nimepata ujuzi kuna mnigeria ana grup lake la siasa kila siku anani dd najitoa ananidd limejaa watu kutoka africa nzima admin n yeyw tu sasa ngoja nikampige sound afu atanikoma dadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndio dawa yao we omba upewe uadmin alafu ...toa wate nnje...atakoma kenge huyiAfu nimepata ujuzi kuna mnigeria ana grup lake la siasa kila siku anani dd najitoa ananidd limejaa watu kutoka africa nzima admin n yeyw tu sasa ngoja nikampige sound afu atanikoma dadeki
Hili jina linaleta ukakasi aisee, ila nimecheka sana piaNikalidelete na group lenyewe la wahuni....jina tu la group ni "hapa mtombo tu"