Wameni "add" kwenye group la whatssap bila idhini yangu ,,nlichowafanyia..hawatansahau

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Waliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui hawa,,nikawaomba kuwa admin kwa kisingizio cha kutaka kuwaad wadada warembo kwenye group lao
Heeee siwakanipa UADMIN bwana[emoji75] [emoji75] [emoji75]
Nliwatoa wote kwenye group,nkabaki mwenyewe[emoji23] [emoji23]
Walikoma
 
Hahahahahaha wew jamaa kiboko aiiiseeew noma sanA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipendagi ujinga mimi
 
Aisee naona ulitumia staili ya kutokufuata sheria kama yule Juma Ponda Mali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afu nimepata ujuzi kuna mnigeria ana grup lake la siasa kila siku anani dd najitoa ananidd limejaa watu kutoka africa nzima admin n yeyw tu sasa ngoja nikampige sound afu atanikoma dadeki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndio dawa yao we omba upewe uadmin alafu ...toa wate nnje...atakoma kenge huyi
 
Back
Top Bottom