Wameni "add" kwenye group la whatssap bila idhini yangu ,,nlichowafanyia..hawatansahau

Wameni "add" kwenye group la whatssap bila idhini yangu ,,nlichowafanyia..hawatansahau

haya chukua zawadi
rooster.png
[emoji213] [emoji213] nimekupenda buree lakini sijui ww ni wa dar au ni wa mkoa[emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha sio mtu wa mchezo mchezo admin
 
Mwisho wa magroup ya what'sapp ni watu 50
 
Waliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui hawa,,nikawaomba kuwa admin kwa kisingizio cha kutaka kuwaad wadada warembo kwenye group lao
Heeee siwakanipa UADMIN bwana[emoji75] [emoji75] [emoji75]
Nliwatoa wote kwenye group,nkabaki mwenyewe[emoji23] [emoji23]
Walikoma
Ha ha haaa huu mtego ulishanikumba siku1....

Kwenye grp la watu nilikua admin msaidizi. Jamaa akanijia kwa gia hiyo nikampatia uadmin aad hao watu wake. Alipora uadmin wote afu akaanza matusi grp liligeuka uwanja wa matusi kwa muda.
 
Hata avatar yako hapa inaonyesha ulistahili kuwa katika kundi hilo tu. Ni kwa nini umewafanyia unyama wakati wewe nawe maungo nje nje? Au picha ya avatar ni ya kuazima?
 
Back
Top Bottom