Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani Dar ni kata?si mkoa kama ilivyo mingine[emoji213] [emoji213] nimekupenda buree lakini sijui ww ni wa dar au ni wa mkoa[emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aseme Kwanza kama hilo dude lakwake mambo mengine yatafuata tuMuombe namba
Ha ha haaa huu mtego ulishanikumba siku1....Waliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui hawa,,nikawaomba kuwa admin kwa kisingizio cha kutaka kuwaad wadada warembo kwenye group lao
Heeee siwakanipa UADMIN bwana[emoji75] [emoji75] [emoji75]
Nliwatoa wote kwenye group,nkabaki mwenyewe[emoji23] [emoji23]
Walikoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwisho wa magroup ya what'sapp ni watu 50