Wameni "add" kwenye group la whatssap bila idhini yangu ,,nlichowafanyia..hawatansahau

nilijua tu hipo siku tu kuna watu wata post tu thread kama hizi great thinkers
 
hahahhahahaha hili na mm liliinikuta mwaka jana..wanachuo wa UDOM walikuwa na group moja la kihuni wavulana kwa wasichana wanadicus ngono,,,nlipowasoma nkajua hawa n sawa na wadogo zangu nahitaj kuwasaidia,,nkaomba uadimn nkapewa aseee hawatokuja kusahau wale mafirauni,,nliwaremove woote afu nkawaadd kaama member wa kawaida ndo nkaanza wapa ushauri yann kinawafanya wao wawepo chuo,,mapenz na uhuni wafanye wakishmalza shule sio kufanya uhuni kwa pesa za wazaz na mikopo...anaejifanya kuleft nlikuwa namuaadd kwa nguvu..nliiifanya hyo kaz kwa week mbili mpaka nlipoamua waremove wote na kulifuta group
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75]
 
Wanauwezo wa kulirudisha group bila wewe kuku add..njia rahisi unge exit group ukaleft tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…