Wameni "add" kwenye group la whatssap bila idhini yangu ,,nlichowafanyia..hawatansahau

Ha ha ha ha sio mtu wa mchezo mchezo admin
 
Mwisho wa magroup ya what'sapp ni watu 50
 
Ha ha haaa huu mtego ulishanikumba siku1....

Kwenye grp la watu nilikua admin msaidizi. Jamaa akanijia kwa gia hiyo nikampatia uadmin aad hao watu wake. Alipora uadmin wote afu akaanza matusi grp liligeuka uwanja wa matusi kwa muda.
 
Hata avatar yako hapa inaonyesha ulistahili kuwa katika kundi hilo tu. Ni kwa nini umewafanyia unyama wakati wewe nawe maungo nje nje? Au picha ya avatar ni ya kuazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…