jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Mkuu uko nyuma miongo mitatuMwisho wa magroup ya what'sapp ni watu 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko nyuma miongo mitatuMwisho wa magroup ya what'sapp ni watu 50
Nmekufatilia we dada naona unapenda sana ngonoNikalidelete na group lenyewe la wahuni....jina tu la group ni "hapa mtombo tu"
Ukishapewa wa kwanza kumtoa admin kabla hajakuwahi[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndio dawa yao we omba upewe uadmin alafu ...toa wate nnje...atakoma kenge huyi
Waliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui hawa,,nikawaomba kuwa admin kwa kisingizio cha kutaka kuwaad wadada warembo kwenye group lao
Heeee siwakanipa UADMIN bwana[emoji75] [emoji75] [emoji75]
Nliwatoa wote kwenye group,nkabaki mwenyewe[emoji23] [emoji23]
Walikoma
BhuahahahahahaNikalidelete na group lenyewe la wahuni....jina tu la group ni "hapa mtombo tu"