Wameniingiza kwenye Group la Whatsapp bila mimi kuridhia, nilichowafanyia hawatonsahau

Richard R Monyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
242
Reaction score
265
Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia

Sasa kuna jamaa juzi alinitupia kwenye Kagroup flani hivi cha wahuni yani humo wote wanajadili ngono tu 24 hours, ni ngono tu na matusi hawana jipya , Hilo group lilikuwa lina Members kama 290 hivi

Baada ya kuniad nikaingia nikiwapa salamu za kutosha then nikamfwata admin nikamuomba na mimi anipe UADMIN nikimuongopea kuwa kuna wadada warembo nataka niwaad kwenye hilo Group

Baada ya kumuomba siakanipa Uadmin bwana, hahaha[emoji23][emoji23], baada kupata uadmin niliwaremove member wote nikabakia mimi mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Group likafa
 
Dah nimecheka, utoto raha sana!
 
mie huwa nawaza kuripoti kundi kama kirusi sijui itakuwaje
 
Hahaha huo ni utoto tu mimi wali niadd nkatuma picha za Uchi wakani remove nkaendelea na mambo yangu
hahahahaha picha za uchi heloooooo hahahahahahaha mkuu kesho ni cheki niku nunulie Heineken moja hivi. naona ulifanya kazi nzurii munoooo
 
Mm natupaga Bomu usiku tukiamka asubui mpk admi anaona katolewa kwenye group sema mm group za ngono ndo huwa natupaga Bomu
 
Naamin ulianza na admin mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…