Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia
Sasa kuna jamaa juzi alinitupia kwenye Kagroup flani hivi cha wahuni yani humo wote wanajadili ngono tu 24 hours, ni ngono tu na matusi hawana jipya , Hilo group lilikuwa lina Members kama 290 hivi
Baada ya kuniad nikaingia nikiwapa salamu za kutosha then nikamfwata admin nikamuomba na mimi anipe UADMIN nikimuongopea kuwa kuna wadada warembo nataka niwaad kwenye hilo Group
Baada ya kumuomba siakanipa Uadmin bwana, hahaha[emoji23][emoji23], baada kupata uadmin niliwaremove member wote nikabakia mimi mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Group likafa