ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
Na hali ya hewa ya leo, sema kuna Godo la kwenda na mtu hapo Dodoma.. ukitoka salama shukuruDodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.