asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
kwani nanihii nae ana hayo matatizo......................
Kijacho si ndio atapata mlezi wa ukweee..........huyo Mzee yuko hii hii Dar au nanihii
nianze kumsaka kuanzia sasa
huyo uliemuita akigoma kunipa anachonipaga kila siku sijui utafanyaje
acha kuhoji hoji , huoni mwenzako kyln alivyojitoa muhanga........
hlf huyo mwanamke mshe.nzi sana , kaamua kula kuku na vifaranga vyake........
altumika na kifaranga , akaamua kuhamia kwa jogoo.........
nitajitolea mimi kukupa kwa moyo mmoja...........
Mi mwenyewe natafuta kizee...nasikia vinajua kutunza kweli kweli
kuna kingunge ngombale mwiru ni bonge la HB
Ni watoto wake?
Mi mwenyewe natafuta kizee...nasikia vinajua kutunza kweli kweli
Kauli mbiu ya MWANAUME PESA inapoleta maana.
Ya kweli haya...........................,
hutaki amaa?????????
Usiende kwa hao njoo kwangu
Hapana ni wako mkuu