asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
kwani nanihii nae ana hayo matatizo......................
Kijacho si ndio atapata mlezi wa ukweee..........huyo Mzee yuko hii hii Dar au nanihii
nianze kumsaka kuanzia sasa
acha kuhoji hoji , huoni mwenzako kyln alivyojitoa muhanga........
hlf huyo mwanamke mshe.nzi sana , kaamua kula kuku na vifaranga vyake........
altumika na kifaranga , akaamua kuhamia kwa jogoo.........