Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Itakua T. MarealeKipindi cha Mangi yupi sasa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua T. MarealeKipindi cha Mangi yupi sasa??
Hii hata kwetu haipoNiko kwa wameru na nawafahamu. Wameru hawana utamaduni wa kukaa ushemejini. Hata kaka au dada akioa au kuolewa huwa ngumu sana kwenda kukaa kwa dada au kaka. Hizo ni mila za watu wengine
Sio kwel mkuu uru marangu , old mosh na kibosho wanaelewana mnoLugha zao tofauti mtu wa tarakea asikilizan kabisa na Mtu wa marangu, na mtu wa marangu asikilizan kabisa na Mtu wa uru
Hawaelewan mim nimeishi na wachaga mda mrefu sanaSio kwel mkuu uru marangu , old mosh na kibosho wanaelewana mno