Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

wewe jamaa ni mnafiki sana unajifanya unamkubali genta kumbe unamchukia kama CAPO DELGADO

ninavyomjua genta anakuvutia pumzi tu na kukuvumilia ila natabiri kuna siku atakubadilikia na kukuchana, hutoamini na ndiyo urafiki wenu hapa jf utaishia siku hiyo hiyo
Noma sana ! 😆
 
Tutakutana next week...
Tusubiri. Usisahau khamsa zileee..!!! Na tena wakati ule mlikuwa mmeshinda moja nyumbani. Safari hii mmetoka sare ya 2 - 2 home ground. Kula mnaenda kuoga magoli..!!
 
Tusubiri. Usisahau khamsa zileee..!!! Na tena wakati ule mlikuwa mmeshinda moja nyumbani. Safari hii mmetoka sare ya 2 - 2 home ground. Kula mnaenda kuoga magoli..!!
Muwe na akiba ya maneno...siku mkicheza nao nitakavyobwabwaja mtu asije akanistopisha walai...nyie endeleeni tuu..
 
Utabwabwaja tukifungwa, ila tukiwafunga wale, mtatafuta kwa kuishi..!!
Mimi nipo hapa hapa hata mumfunge sijui nani...hakuna jipya ambalo mtafanya mnyama hajafanya...yani nawaonea huruma sana mtapigika kipigo cha mbwa koko..
 
Back
Top Bottom