adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Noma sana ! 😆wewe jamaa ni mnafiki sana unajifanya unamkubali genta kumbe unamchukia kama CAPO DELGADO
ninavyomjua genta anakuvutia pumzi tu na kukuvumilia ila natabiri kuna siku atakubadilikia na kukuchana, hutoamini na ndiyo urafiki wenu hapa jf utaishia siku hiyo hiyo