Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

Noma sana ! 😆
 
Tutakutana next week...
Tusubiri. Usisahau khamsa zileee..!!! Na tena wakati ule mlikuwa mmeshinda moja nyumbani. Safari hii mmetoka sare ya 2 - 2 home ground. Kula mnaenda kuoga magoli..!!
 
Muwe na akiba ya maneno...siku mkicheza nao nitakavyobwabwaja mtu asije akanistopisha walai...nyie endeleeni tuu..
 
Utabwabwaja tukifungwa, ila tukiwafunga wale, mtatafuta kwa kuishi..!!
 
Mimi nipo hapa hapa hata mumfunge sijui nani...hakuna jipya ambalo mtafanya mnyama hajafanya...yani nawaonea huruma sana mtapigika kipigo cha mbwa koko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…