Wameshasahau wao walivyokuwa wanabaguliwa na Makaburu! Wanawabagua waafrika wenzao

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Hawa hapa wamesheheni silaha za jadi kushambulia waafrika halafu wanategemea tuwashangilie kombe la dunia!

1781260973630.jpeg
 
Ni Taifa la mwisho kujipatia utawala wa walio wengi kwa msaada wa waafrika wenzao dhidi ya makaburu! Leo mchana kweupe wanawashikia waafrika wenzao silaha za jadi kuwashambulia!
Mbaya zaidi Afrika ya kusini kuna wazungu, waarabu, wahindi, wachina, wakorea nk lakini hawawagusi! wanawalenga tu waafrika wenzao!! Halafu leo wanategemea Afrika iwaunge mkono kombe la dunia?
 
Hiyo nchi kama siyo wazungu ,wahindi na waarabu ndiyo ingekuwa nchi ya hovyo na masikini kuliko zote duniani hao wazulu ni vichaa watupu
 
Hawa hapa wamesheheni silaha za jadi kushambulia waafrika halafu wanategemea tuwashangilie kombe la dunia!

View attachment 3606239
Uhamiaji haramu ni janga. Nadhani kama tukifuata taratibu kuingia nchi za watu itapunguza haya mambo
South Africa ina wahamiaji haramu 3.5m na wao wapo 65m almost 3% wahamiaji haramu. Sisi TZ tungeweza ku accomodate watu wote hao kama wahamiaji haramu?
 
Hata wakifukuza wahamiaji wote wabaki wenyewe wazulu hawanaga akili tofauti na ulevi na umalaya
 
Nyerere alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana sifa na akajifanya kuwapigania sana hawa jamaa ili angalau dunia ije imkumbuke kwa hilo kwani hakuwa na namna nyingine ya kuweza kukumbukwa baada ya kuifanya nchi kuwa maskini kwa kuendekeza sera za kijinga.
 
Dikteta Nyerere alikuwa mtu wa hovyo sana alikuwa anatumia rasilimali za wadanganyika kijinga bila memorandum yoyote mwehu yule
 
Nyerere alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana sifa na akajifanya kuwapigania sana hawa jamaa ili angalau dunia ije imkumbuke kwa hilo kwani hakuwa na namna nyingine ya kuweza kukumbukwa baada ya kuifanya nchi kuwa maskini kwa kuendekeza sera za kijinga.
Ungesikiliza hotuba zake usingekuja kulalamika, alisema hatuchukii makaburu kwa ukaburu wao bali tabia yao ya ubaguzi wa rangi, akasema hata waafrika kusini wakileta ubaguzi watachukiwa hivyohivyo.
 
Ubaguzi gani wakati ccm yake aliyoiacha inawabagua vibaya wapinzani na kuwanyanyasa au ubaguzi ni mpaka afanyiwe mtu mweusi tu na mtu mweupe.

Bure kabisa.
 
Ni Taifa la mwisho kujipatia utawala wa walio wengi kwa msaada wa waafrika wenzao dhidi ya makaburu! Leo mchana kweupe wanawashikia waafrika wenzao silaha za jadi kuwashambulia!
Mbaya zaidi Afrika ya kusini kuna wazungu, waarabu, wahindi, wachina, wakorea nk lakini hawawagusi! wanawalenga tu waafrika wenzao!! Halafu leo wanategemea Afrika iwaunge mkono kombe la dunia?

bila ya hao wazungu, wahindi na waarabu hio nchi ingelikuwa nyag'anyang'a mkuu. wenyewe wanajua na ndio mana wanaiheshimu sana ngozi nyeupe
 
Back
Top Bottom