Nasikia huko wahamiaji harami ni njaa tupu. Kazi ya laki mhamiaji haramu anaruka nayo hata kwa elfu kumi.Uhamiaji haramu ni janga. Nadhani kama tukifuata taratibu kuingia nchi za watu itapunguza haya mambo
South Africa ina wahamiaji haramu 3.5m na wao wapo 65m almost 3% wahamiaji haramu. Sisi TZ tungeweza ku accomodate watu wote hao kama wahamiaji haramu?