Wameshasahau wao walivyokuwa wanabaguliwa na Makaburu! Wanawabagua waafrika wenzao

Nasikia huko wahamiaji harami ni njaa tupu. Kazi ya laki mhamiaji haramu anaruka nayo hata kwa elfu kumi.
 
Nyerere alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana sifa na akajifanya kuwapigania sana hawa jamaa ili angalau dunia ije imkumbuke kwa hilo kwani hakuwa na namna nyingine ya kuweza kukumbukwa baada ya kuifanya nchi kuwa maskini kwa kuendekeza sera za kijinga.
Jasho na damu za ndugu zetu vilimwagika huko SA ila leo hii tupo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…