Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu.
Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na kufanikiwa azma yake lakini baada ya hapo hujawa na hofu, fadhaa na aibu
Ubakaji uko wa aina nyingi
Ubakaji wa demokrasia
Ubakaji wao haki
Ubakaji wa uwajibikaji
Ubakaji wa sheria nk
Leo pale Mbeya kwenye mahakama kuu.. Haki na sheria vimebakwa! Lakini wabakaji hawana furaha hata kidogo.
The guilty are afraid.
Sent using Jamii Forums mobile app