Wameshinda kesi lakini hawana furaha

Wameshinda kesi lakini hawana furaha

Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu..!

Kuna raha fulani unapofanya ubakaji.. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi..inatisha sana sana..! Na m'bakaji pamoja na kufanikiwa azma yake lakini baada ya hapo hujawa na hofu, fadhaa na aibu

Ubakaji uko wa aina nyingi
.Ubakaji wa demokrasia
.Ubakaji wao haki
.Ubakaji wa uwajibikaji
.Ubakaji wa sheria nk

Leo pale Mbeya kwenye mahakama kuu.. Haki na sheria vimebakwa! Lakini wabakaji hawana furaha hata kidogo..!

The guilty are afraid...!

View attachment 2713573

Sent using Jamii Forums mobile app
utashindaje kesi halafiu ukose furaha yaanio sasa hivi ni full shangwe
 
Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu.

Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na kufanikiwa azma yake lakini baada ya hapo hujawa na hofu, fadhaa na aibu

Ubakaji uko wa aina nyingi
Ubakaji wa demokrasia
Ubakaji wao haki
Ubakaji wa uwajibikaji
Ubakaji wa sheria nk

Leo pale Mbeya kwenye mahakama kuu.. Haki na sheria vimebakwa! Lakini wabakaji hawana furaha hata kidogo.

The guilty are afraid.

View attachment 2713573

Sent using Jamii Forums mobile app
‘ What’s the way forward!
Muhimu kutafuta suluhu sasa
Hope wanasheria wanaoipenda nchi yetu kwa pamoja waungane tupate ufumbuzi..
Walio upinzani wa KWELI hii ni dharula so kuna mambo yanaweza kusubiri hili ni la muhimu sana.
MUNGU Atusimamie tu.
 
Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu.

Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na kufanikiwa azma yake lakini baada ya hapo hujawa na hofu, fadhaa na aibu

Ubakaji uko wa aina nyingi
Ubakaji wa demokrasia
Ubakaji wao haki
Ubakaji wa uwajibikaji
Ubakaji wa sheria nk

Leo pale Mbeya kwenye mahakama kuu.. Haki na sheria vimebakwa! Lakini wabakaji hawana furaha hata kidogo.

The guilty are afraid.

View attachment 2713573

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka kuongeza jambo moja. Hakuna jambo baya kama watu wakishindwa kuiamini mahakama. It can be worse than we can possibly imagine.
 
Ni pigo kwa Ufipa FC. Inabidi mumshtaki Mwabukusi wa kuwaingiza chaka. Mwabukusi amejipatia fedha kwa njia za udanganyifu. Alijua kabisa mtapigwa na kitu chenye ncha kali ila hakujali maumivu yenu ya leo. Siku nyingine na nyie CHADEMA muwe mnashaurika.
 
Ni pigo kwa haki demokrasia na sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka ya baadae atatokea ceo mwingine kutokea cha kile kile, alafu ataanza kumlaumu huyu wa sasa kwanini alipitisha hili.
🤔
 
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wakili Boniface Mwabukusi na wenzake iliyokuwa inapinga serikali ya Tanzania kuingia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na serikali ya Dubai ikilenga kushirikiana katika Uwekezaji Bandarini ambapo kampuni ya DP WORLD kwa niaba ya Dubai watashirikiana na TPA kwa niaba ya Tanzania zitashirikiana kuendeleza maeneo maalum ya kiuchumi ikiwemo uendeshaji wa BandariView attachment 2713579

Sent using Jamii Forums mobile app
🖕Huyu Mastam si ndio alisema mahakamani za serikali ni vimemo tu😂😂Mwache afurahi kimemo kimeheshimiwa na hakim mkazi!
 
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wakili Boniface Mwabukusi na wenzake iliyokuwa inapinga serikali ya Tanzania kuingia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na serikali ya Dubai ikilenga kushirikiana katika Uwekezaji Bandarini ambapo kampuni ya DP WORLD kwa niaba ya Dubai watashirikiana na TPA kwa niaba ya Tanzania zitashirikiana kuendeleza maeneo maalum ya kiuchumi ikiwemo uendeshaji wa BandariView attachment 2713579

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kauli gani aliyoiombea radhi mahakama huyu gabacholi?

Kwa kuwa aliyoyasema ndiyo yanatendeka sasa na kufanywa kweli, je ukweli huombewa radhi?
 
Jaji Dunstan Ndunguru anasema Mahakama inakubaliana na hoja ya waleta maombi, kwamba ibara za IGA zimevunja sheria za ulinzi wa Rasilimali, kwa kupeleka migogoro nje ya nchi.Lakini anasema dosari hiyo haitatumika kutangaza IGA kuwa ni batili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale Yale ya yule profesa kwenye Ile kesi !!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom