Wameshinda kesi lakini hawana furaha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu.

Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na kufanikiwa azma yake lakini baada ya hapo hujawa na hofu, fadhaa na aibu

Ubakaji uko wa aina nyingi
Ubakaji wa demokrasia
Ubakaji wao haki
Ubakaji wa uwajibikaji
Ubakaji wa sheria nk

Leo pale Mbeya kwenye mahakama kuu.. Haki na sheria vimebakwa! Lakini wabakaji hawana furaha hata kidogo.

The guilty are afraid.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wakili Boniface Mwabukusi na wenzake iliyokuwa inapinga serikali ya Tanzania kuingia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na serikali ya Dubai ikilenga kushirikiana katika Uwekezaji Bandarini ambapo kampuni ya DP WORLD kwa niaba ya Dubai watashirikiana na TPA kwa niaba ya Tanzania zitashirikiana kuendeleza maeneo maalum ya kiuchumi ikiwemo uendeshaji wa Bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mtaani watu wanacheza na kupiga ngoma,nilifikiri harusi.Nilipowauliza wakaniambia wazalendo wameshinda kesi.Ni vicheko na furaha.
 
Hehee kama uchaguzi wa 2020 election
 
Wivu tu, kesi tumeshinda ndiyo mnataka nini?
 
Sijui ni kwanini kila upande lazima uwe na sapota, kinachoniuma ni sapota kuelekea upande usiofaa, shame on you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…