Wameshinda kesi lakini hawana furaha

utashindaje kesi halafiu ukose furaha yaanio sasa hivi ni full shangwe
 
‘ What’s the way forward!
Muhimu kutafuta suluhu sasa
Hope wanasheria wanaoipenda nchi yetu kwa pamoja waungane tupate ufumbuzi..
Walio upinzani wa KWELI hii ni dharula so kuna mambo yanaweza kusubiri hili ni la muhimu sana.
MUNGU Atusimamie tu.
 
Mimi nataka kuongeza jambo moja. Hakuna jambo baya kama watu wakishindwa kuiamini mahakama. It can be worse than we can possibly imagine.
 
Ni pigo kwa Ufipa FC. Inabidi mumshtaki Mwabukusi wa kuwaingiza chaka. Mwabukusi amejipatia fedha kwa njia za udanganyifu. Alijua kabisa mtapigwa na kitu chenye ncha kali ila hakujali maumivu yenu ya leo. Siku nyingine na nyie CHADEMA muwe mnashaurika.
 
Ni pigo kwa haki demokrasia na sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka ya baadae atatokea ceo mwingine kutokea cha kile kile, alafu ataanza kumlaumu huyu wa sasa kwanini alipitisha hili.
🤔
 
🖕Huyu Mastam si ndio alisema mahakamani za serikali ni vimemo tu😂😂Mwache afurahi kimemo kimeheshimiwa na hakim mkazi!
 
Ni kauli gani aliyoiombea radhi mahakama huyu gabacholi?

Kwa kuwa aliyoyasema ndiyo yanatendeka sasa na kufanywa kweli, je ukweli huombewa radhi?
 
Yale Yale ya yule profesa kwenye Ile kesi !!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…