Wameshinda kesi lakini hawana furaha

Sawa Mama wamekusikia.
 
miaka ya baadae atatokea ceo mwingine kutokea cha kile kile, alafu ataanza kumlaumu huyu wa sasa kwanini alipitisha hili.
🤔
Ngoma hii haitalia sana bila ya kukawia kupasuka, ngoma hii itapasuka mapema huku wacheza hawajakinai wakipenda iendelee kulia ili waendelee kucheza.

Hapa hakuna cha ceo mwingine wala nani, hii ngoma italilia kwa ceo huyu huyu na kupasukia kwa ceo huyu huyu.

Mkataba wa utekelezaji utapoanza, ninajua kutakuwa na uzorotaji mkubwa na ndipo kadhia zitaanzia hapo.

Kwani uwekezaji wa Net group sln na Trl namna ulivyoingiwa kwa serikali kutumia nguvu kubwa kuwatetea, unakumbuka ilikuwaje baadaye?
 
......we have decided to learn through time, yaap fine, let's wait coz time is a good teacher......
 
Mh!,nasikiaga tu hukooo mbali Vita na chuki wao kwa wao haviishagi.

Ila Kumbe nao no binadamu Kama sisi tu aise.
Tofauti ni mipaka.
Itakujaga tu siku mtasikia Jaji anaomba kazi anafanya usahili.
Siku hizo najua ntakua nshakufa ama kuzeeka.

Ile itaondoa kumsujudia aliyekulazimisha kacheo ka ugari nyama.
It's Bali hakufanyi chochote maana hawajibiki kwa mh MCHELE
 
Mh. Jaji Ndunguru anakubali ibara za IGA ni batili na IGA haina dosari.
 
Chombo Cha serikali hakiwezi kuhukumu serikali.
Haipaswi kuwa hivyo, Sasa wananchi wanasimamiwa na nani? Wawakilishi wao bungeni wanawasaliti, wasimamia haki, nao wanawaruka. Mustakabali wa mwananchi uko wapi?
Tz haina 'Utawala Bora', na utawala bora ni pale mahakama inapokubaliana na waleta shitaka, iwe na uwezo wa kusema hilo suala ni batili, sio kukubaliana nao halafu inadai si hoja ya kubatilisha.
Utawala bora ni pale bunge linapoiuliza maswali serikali kwa niaba ya wananchi, na sio kukubali kila kinachofanywa na Serikali hata inapoonekana dhahiri, Serikali inaliburuta bunge, na mbaya zaidi, wabunge wanauonga mkono Serikali kwa manufaa yao binafsi sio ya uwakilishi wa wananchi.
Utawala bora, ni pale Serikali kabla ya kufanya lolote, kupata ridhaa ya wananchi, iwe moja kwa moja au kwa wawakilishi wao, na iwe kabla hata ya mazingumzo yoyote na wadau wowote wale. Sio iingie mpaka mkataba, halafu ndio inalazimisha wananchi wakubaliane nayo.
Utawala bora ni kwa bunge, mahakama n, Serikali na wananchi kuhakikisha hawafanyi lolote linaloenda kinyume na Katiba!
 
Utawala bora ni kwa bunge, mahakama n, Serikali na wananchi kuhakikisha hawafanyi lolote linaloenda kinyume na Katiba![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…