Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.

Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu.

Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa msimamo ni mkali tukutane D25 huwezi kuzima mauwaji ya ndugu zetu kwa kutuletea hawa wajinga wa mirembe.
 
😂😂😂😂😂
 
Hawana hoja hata kidogo. Wanakimbilia kwenye udini na amani. Wanataka amani ili wakiteka watu tukae kimya, wakiua tukae kimya, wakiuza rasilimali tukae kimya. Hiyo ndo amani wanayoitaka ndo maana neno haki kwao ni Kama sindano kali ya uti wa mgongo. CCM haina tena ushawishi wala sera za maana, walichobakiza ni kutumia bunduki tu.
 
We mwenyewe ndani ya hizo wiki umetaja nyumbu mara ngapi? Ulikuwa umezidiwa ama?
Umeona Mimi nafungua thread nazungumzia timu pinzani mkuu?

Naona wiki Mbili mnafungua the same thread nini kimewapata ?.
 
Haijalishi umeanzisha mada ama unachangia, ili mradi reaction yako ni hiyo.
Haaaaa naona mmezidiwa

Nilikuambia mkuu Mimi , nitawapoteza vibaya mno

Hauwezi ukashindana na watu intelligent
 
Siyo machawa ni wazalendo wa Tanzania yetu dhidi ya mawakala wa mabeberu, wanaoishi kwa Hela za ford foundation
 
Nini kimewapata huko mbona mnalipuka sana mara buku saba..

NAWAMBIAJE!
mkitoa mguu na sisi tunaweka, mkikimbilia bakwata na sisi tumo, mkileta u TEC na sisi tumo, popote tupo. hadi taifa libaki salama dhidi ya nyumbu na vigagula vyote vya kimamvi.
MTABAKI KUWA NYUMBU TU
 
Ole wake Mtu aje aingie Na kupeleka Pua Yake Barabarani. Kwa hakika atakiona cha Mtema kuni na haji kusahau katika Maisha yake.
 
Back
Top Bottom