Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini

Haaaaa naona mmezidiwa

Nilikuambia mkuu Mimi , nitawapoteza vibaya mno

Hauwezi ukashindana na watu intelligent
🤣🤣🤣 na wewe ni intelligent
daah kweli Tanzania ni nchi ya vichekesho na vituko
 
Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.

Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu.

Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa msimamo ni mkali tukutane D25 huwezi kuzima mauwaji ya ndugu zetu kwa kutuletea hawa wajinga wa mirembe.
inaonekana somo limekuingia vizuri sana maaana hili swala la machawa kila sku 🤣
 
Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.

Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu.

Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa msimamo ni mkali tukutane D25 huwezi kuzima mauwaji ya ndugu zetu kwa kutuletea hawa wajinga wa mirembe.
mi nikiceki post ya kichawa, nafanya jambo moja takatifu, nawaignore tu!
 
Back
Top Bottom