Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hizo pimbi ulizozitag ni empty pumpkin headsWaliotumwa wenyewe ndio hawa,
; @Funuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
😂😂😂😂😂Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.
Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu.
Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa msimamo ni mkali tukutane D25 huwezi kuzima mauwaji ya ndugu zetu kwa kutuletea hawa wajinga wa mirembe.
Kuna moja nalifahamu ID yake OG ya NIDA na lipo Tiktok linaongeaga pumba.Muda sahihi ukifika litapewa salamu zake.Waliotumwa wenyewe ndio hawa,
; @Funuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
Hawana hoja hata kidogo. Wanakimbilia kwenye udini na amani. Wanataka amani ili wakiteka watu tukae kimya, wakiua tukae kimya, wakiuza rasilimali tukae kimya. Hiyo ndo amani wanayoitaka ndo maana neno haki kwao ni Kama sindano kali ya uti wa mgongo. CCM haina tena ushawishi wala sera za maana, walichobakiza ni kutumia bunduki tu.Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.
Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu.
Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa msimamo ni mkali tukutane D25 huwezi kuzima mauwaji ya ndugu zetu kwa kutuletea hawa wajinga wa mirembe.
We mwenyewe ndani ya hizo wiki umetaja nyumbu mara ngapi? Ulikuwa umezidiwa ama?*zaidi ya wiki Mbili mada ni Machawa je mmezidiwa au?
Umeona Mimi nafungua thread nazungumzia timu pinzani mkuu?We mwenyewe ndani ya hizo wiki umetaja nyumbu mara ngapi? Ulikuwa umezidiwa ama?
Haijalishi umeanzisha mada ama unachangia, ili mradi reaction yako ni hiyo.Umeona Mimi nafungua thread nazungumzia timu pinzani mkuu?
Naona wiki Mbili mnafungua the same thread nini kimewapata ?.
Haaaaa naona mmezidiwaHaijalishi umeanzisha mada ama unachangia, ili mradi reaction yako ni hiyo.
MTABAKI KUWA NYUMBU TUmkitoa mguu na sisi tunaweka, mkikimbilia bakwata na sisi tumo, mkileta u TEC na sisi tumo, popote tupo. hadi taifa libaki salama dhidi ya nyumbu na vigagula vyote vya kimamvi.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu. Mmeishiwa hoja na kubakia kubwabwaja tu.Waliotumwa wenyewe ndio hawa,
; @Funuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu. Mmeishiwa hoja na kubakia kubwabwajaWaliotumwa wenyewe ndio hawa,
; @Funuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian