Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
IMG-20230328-WA0127.jpg

TAZARA Flyover hapo , kwa Mfugale.
Gari linapindukaje?
Tena gari la namba za daladala.
Serikali mpooo?
 
Madereva wengi vichaaa

Ova
Kuna matatizo mawili hapo, kwanza dereva kazidisha mwendo salama WA kupita kwenye Kona Huku akiwa amesimamisha abiria wengi na centre of gravity imepungua kutokana na watu kulalia upande mmoja!! (Dereva asiyekuwa na uzoefu).

Pili, Hiyo barabara haijakidhi viwango sahihi vya superelevation ya kutoruhusu Gari kuanguka kirahisi (Poor Constructed) hapa Tanroads inawahusu na inabidi wafanye kitu hapo!!
Ni hayo TU!!
 
Kuna matatizo mawili hapo, kwanza dereva kazidisha mwendo salama WA kupita kwenye Kona Huku akiwa amesimamisha abiria wengi na centre of gravity imepungua kutokana na watu kulalia upande mmoja!! (Dereva asiyekuwa na uzoefu)

strong points but hawatoelewa
 
We mhandisi sio poa!
Wapi unaweka super elevation kwenye traffic intersections?
Superelevation ni kwenye one-way traffic.
 
Back
Top Bottom