Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Madereva wengi ni vichaaa

Ova
Hasa hawa wa ma-Eicher na TATA na mihoni yao mikali.

Unamkuta barabara nzima anapiga yeye horn speed yeye anakowahi huelewi halafu ni waoga ikimchomekea hata Starlet tu anahama njia matokeo ndiyo kama haya.
 
Inasemekana kulikuwa na jam, dereva wa eicher akawa anakimbizana kumuwahi traffic kabla hajasimamisha magari, naona akashindwa kucontrol akala mweleka.
 
Mkuu hao abiria wenyewe kwa speed huwaambii kitu, hiyo TATA ikae mbele Konde akae nyuma basi yeye moyo wake uko kwatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom