Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Kuna hii msg inazunguka wasap groups....je Kuna ukweli

NDUGU MNAOISHI MAENEO YA KUANZIA TAZARA KUELEKEA GONGO LA MBOTO PIGIENI SIMU FAMILIA ZENU KUNA DALADALA IMEDONDOKA MFUGALE BRIDGE NA AJALI HIYO INEGHARIMU MAISHA YA WATU INNALILLAH WAINA ILLAH RAJOON.

=======

73241f8c-61df-4238-a671-81a9b89f4e0b-jpg.2570304
 
Dar es Salaam kuna mambo na vijimamboo

Nko mkoani nkaona dereva alozimiaa baada ya kugonga gari kadhaa huko bandari salama
 
Eicher mtu kaipindua kichwa chini miguu juu dah alikuwa anawahi wapi
Unazan ajali ni suala la unawahi wapi mkuu, nakumbuka tulipinduka na basi mkoani huko speed ilikuwa 20 kushuka chini si zaidi. Yaani gari ilipinduka unaona kabisa kama inasukumwa kwa nguvu, kuna mpaka watu wali counter wakati gari inaenda kushoto wao wakabana kulia ilivyopinduka wakabaki wamesimama madirishani ubavu wa juu. Ukiona unaweza kuona kama igizo vile lakini ndio ililala na wachache walipata majeraha.
 
Back
Top Bottom