Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Madereva wengi vichaaa

Ova
Kuna matatizo mawili hapo, kwanza dereva kazidisha mwendo salama WA kupita kwenye Kona Huku akiwa amesimamisha abiria wengi na centre of gravity imepungua kutokana na watu kulalia upande mmoja!! (Dereva asiyekuwa na uzoefu).

Pili, Hiyo barabara haijakidhi viwango sahihi vya superelevation ya kutoruhusu Gari kuanguka kirahisi (Poor Constructed) hapa Tanroads inawahusu na inabidi wafanye kitu hapo!!
Ni hayo TU!!
 
strong points but hawatoelewa
 
We mhandisi sio poa!
Wapi unaweka super elevation kwenye traffic intersections?
Superelevation ni kwenye one-way traffic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…