masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Sijui ni kweli Kuna msg kama hiyo wasap groupAisee,hili life hili
Kumbe ni jana?Afadhali kutufahamisha.Hii ni ya jana sio leo
Hakuna kifo chochote zaid ya majeraha
Yes ni janaKumbe ni jana?Afadhali kutufahamisha.
Unazan ajali ni suala la unawahi wapi mkuu, nakumbuka tulipinduka na basi mkoani huko speed ilikuwa 20 kushuka chini si zaidi. Yaani gari ilipinduka unaona kabisa kama inasukumwa kwa nguvu, kuna mpaka watu wali counter wakati gari inaenda kushoto wao wakabana kulia ilivyopinduka wakabaki wamesimama madirishani ubavu wa juu. Ukiona unaweza kuona kama igizo vile lakini ndio ililala na wachache walipata majeraha.Eicher mtu kaipindua kichwa chini miguu juu dah alikuwa anawahi wapi
Mkono wa mtuEicher mtu kaipindua kichwa chini miguu juu dah alikuwa anawahi wapi
Madereva hawa wana maajabu yao naoMkono wa mtu