Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Mar 29, 2023 #61 Ni jana na ilikua muda wa mvua. Dereva alishindwa kucontrol vizuri gari ikateleza.
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,555 Reaction score 6,972 Mar 29, 2023 #62 Jana hiyo sio leo
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Mar 29, 2023 #63 mrangi said: Madereva wengi ni vichaaa Ova Click to expand... Hasa hawa wa ma-Eicher na TATA na mihoni yao mikali. Unamkuta barabara nzima anapiga yeye horn speed yeye anakowahi huelewi halafu ni waoga ikimchomekea hata Starlet tu anahama njia matokeo ndiyo kama haya.
mrangi said: Madereva wengi ni vichaaa Ova Click to expand... Hasa hawa wa ma-Eicher na TATA na mihoni yao mikali. Unamkuta barabara nzima anapiga yeye horn speed yeye anakowahi huelewi halafu ni waoga ikimchomekea hata Starlet tu anahama njia matokeo ndiyo kama haya.
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 16,078 Reaction score 77,186 Mar 29, 2023 #64 Inasemekana kulikuwa na jam, dereva wa eicher akawa anakimbizana kumuwahi traffic kabla hajasimamisha magari, naona akashindwa kucontrol akala mweleka.
Inasemekana kulikuwa na jam, dereva wa eicher akawa anakimbizana kumuwahi traffic kabla hajasimamisha magari, naona akashindwa kucontrol akala mweleka.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 29, 2023 #65 dronedrake said: Mkuu hao abiria wenyewe kwa speed huwaambii kitu, hiyo TATA ikae mbele Konde akae nyuma basi yeye moyo wake uko kwatu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dronedrake said: Mkuu hao abiria wenyewe kwa speed huwaambii kitu, hiyo TATA ikae mbele Konde akae nyuma basi yeye moyo wake uko kwatu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]