Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje
Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa
Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa.
Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi.
Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu.
Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu vibaya sana.
Internet mzime nyie, mesage za kukataza watu kutuma ushahidi mtume nyie, kuteka na kuua mfanye nyie. Alafu tuliwauliza mmewaua Watanganyika wenyetu wangapi mnagoma kusema.
Pambafu zenu.