Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu

Hawa wamiliki, ni watu wa nchi Gani?
 
Walishindwa kutimiza majukumu yapi hasa?
 
Yuko wapi:
1. Engineer Aliyeidhinisha ujenzi?
2. Msanifu majengo?
3. CRB waliotoa kibali?
4. Mhandisi mshauri?
5. Engineer msimamizi wa mradi?
6. Waliotoa kibali cha ujenzi?

Hawa wote lazima waunganishwe kwenye hii kesi
Hao walitengeneza mifuko ya Qur'an ndio wameleta balaa Allah hana mchezo ubaya wakristo bado wamekalia kiti cha shetani kanisani.
 
Akikujibu Nitag
 
Sawa ila wenye pesa hawafungwi refer Nawanda
 
Kuna mwamba anaitwa Sostele kama sijakosea kuandika hili jina vizuri ndio mmiliki wa jengo hilo lililoanguka. Jamaa anamiliki kama ghorofa 6 hivi, ila nashangaa watu wanamtaja Abass tarimba.

Hao waliotajwa ndio walimuzia Sostele na alikuwa anarekebisha underground kiholela jengo limeanguka.

Atakamatwa tu
 
Wakati mwingine mtenda kosa huwekwa ndani kwa usalama wake nadhani ndio hawo sasa
 
Waliita mafundi wabomoe chini ya jengo waongeze mafremu.je hilo SIO KOSA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…