Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu

Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.

Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu 29, wamefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa Novemba 29, 2024 na kusomewa mashtaka hayo.

Waliofikishwa mahakamani hapo ni Leondela Mdete (49), mkazi wa Mbezi Beach, Zenabu Islam (61), mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), mkazi wa Ilala.

Soma, Pia:
Washtakiwa hao wamesomewa kesi hiyo na mawakili watatu waandamizi wa Serikali – Adolf Lema, Grace Mwanga na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini.

Kwenye mashtaka hayo, washtakiwa hao wanadaiwa Novemba 16, 2024 katika mtaa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, isivyo halali, kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu na kusabashisha vifo vya watu 29.
Hawa wamiliki, ni watu wa nchi Gani?
 
Walishindwa kutimiza majukumu yapi hasa?
 
Yuko wapi:
1. Engineer Aliyeidhinisha ujenzi?
2. Msanifu majengo?
3. CRB waliotoa kibali?
4. Mhandisi mshauri?
5. Engineer msimamizi wa mradi?
6. Waliotoa kibali cha ujenzi?

Hawa wote lazima waunganishwe kwenye hii kesi
Hao walitengeneza mifuko ya Qur'an ndio wameleta balaa Allah hana mchezo ubaya wakristo bado wamekalia kiti cha shetani kanisani.
 
We mfuasi wa mkosa nyumba hivi bado mnajitoa Kafara ya Kubatizwa kanisani. Hebu tazama bibilia yenu inasema nini
UFUNUO 2-12-13 Napajua Ukaapo Kanisani ni katika kiti cha enzi cha Shetani.

Shetani Kiti chake cha enzi ni Kanisani
maana yake ni; Wakristo wamemkalia Shetani kanisani.
Je ipo Aya katika biblia kuwa Shetani huyo aliye Kalia Kiti kanisani alitoka au bado yupo hadi sasa.

Kama yupo itakuwa ninyi Wakristo mnamuabudu ni Shetani 100% Au ndio kila siku mnapiga maombi kwa Kusema. Pepo Toka Pepo Toka hahahaha

Sasa mnamfukuzaje Baba Mwenye Nyumba, nyie vichaa kweli aisay.
Akikujibu Nitag
 
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.

Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu 29, wamefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa Novemba 29, 2024 na kusomewa mashtaka hayo.

Waliofikishwa mahakamani hapo ni Leondela Mdete (49), mkazi wa Mbezi Beach, Zenabu Islam (61), mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), mkazi wa Ilala.

Soma, Pia:
Washtakiwa hao wamesomewa kesi hiyo na mawakili watatu waandamizi wa Serikali – Adolf Lema, Grace Mwanga na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini.

Kwenye mashtaka hayo, washtakiwa hao wanadaiwa Novemba 16, 2024 katika mtaa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, isivyo halali, kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu na kusabashisha vifo vya watu 29.
Sawa ila wenye pesa hawafungwi refer Nawanda
 
Kuna mwamba anaitwa Sostele kama sijakosea kuandika hili jina vizuri ndio mmiliki wa jengo hilo lililoanguka. Jamaa anamiliki kama ghorofa 6 hivi, ila nashangaa watu wanamtaja Abass tarimba.

Hao waliotajwa ndio walimuzia Sostele na alikuwa anarekebisha underground kiholela jengo limeanguka.

Atakamatwa tu
 
Mbona kosa lao halijawekwa wazi ni nini? Walishindwa kutimiza wajibu wao?
Kwanini washtakiwe kua bila kukusudia? Kwamba jengo wa jengo likiporomoka anashtakiwa?

Bado hakuna sababu za msingi za kuwatia hatiani, labda ndio ule utaratibu wetu wa kushikiliwa wakati upelelezi unaendelea.
Wakati mwingine mtenda kosa huwekwa ndani kwa usalama wake nadhani ndio hawo sasa
 
Mbona kosa lao halijawekwa wazi ni nini? Walishindwa kutimiza wajibu wao kivipi?
Kwanini washtakiwe kuua bila kukusudia? Kwamba mmiliki wa jengo likiporomoka anashtakiwa?

Bado hakuna sababu za msingi za kuwatia hatiani, labda ndio ule utaratibu wetu wa kushikiliwa wakati upelelezi unaendelea.
Waliita mafundi wabomoe chini ya jengo waongeze mafremu.je hilo SIO KOSA?
 
Back
Top Bottom