Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

Hii misamaha kipindi hiki inapaswa kuangaliwa kwa makini.. Kuna walengwa wake pengine
Au kuna hofu kwamba ni nyingi mno, hakuna takwimu sahihi ya idadi/aina na huenda zikawa ni kishawishi zikatumika na wanoko siku isiyojulikana na kuitatiza amani yetu.
 
Je ikiwa ulimilikishwa kihalali na vibali vyote ila kwa kutolipia kila mwaka kwa mwaka mmoja hivi nayo inakuwa Silaha Haramu?
 
Wazifuate kwa watu waliotajwa na Mange sio kubweta barabarani kwa sababu mbwa koko hamsumbui mpita njia kuendelea na safari yake
 
Huu ni ubunifu katika mkakati wa kuondokana na uhalifu! Toa msamaha kwa mhalifu. Kutatua tatizo la ubakaji, toa msamaha kwa wabakaji; kadhalika, kutokomeza rushwa na wizi wa mali ya umma, toa msamaha kwa wahusika nk nk. Haijakaa sawa
 
Aisee kumiliki Tu silaha naogopa naiogopa naona km inaweza kufyatuka yenyewe ikanikula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…