Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
597
Reaction score
792
Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi?
SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo:
πŸ“Œ Kanuni za Usimamizi wa Duka/Biashara
πŸ“Œ Uhifadhi wa Kumbukumbu na Usimamizi wa Fedha
πŸ“Œ Usimamizi wa Supplier (Wauzaji wa Jumla)
πŸ“Œ Huduma Bora kwa Wateja
πŸ“Œ Masoko na Kujenga Mtandao wa Wateja
πŸ“Œ Na mengine mengi muhimu kwa mafanikio ya biashara yako
πŸ’¬ Mafunzo yanatolewa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kupitia WhatsApp.

🟒 JIUNGE SASA πŸ‘‰ Bonyeza hapa kujiunga na kundi la WhatsApp

Usikubali biashara yako ibaki palepale jifunze, tumia maarifa, na ipe biashara yako fursa ya kuendelea kukua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…