Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite 😀😀
 
🤣🤣🤣🤣🤣...hahhjaa watz ni kwikwi...mie nimeendesha hapa naona nitasumbuka na ndoto kwa mwezi mzima...! Jamani Mungu atupe pumzi .dadek
 
Back
Top Bottom