Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Haha akati kuna G ngapi???Ukute unapewa heshima sababu ya bimmer E46,hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha akati kuna G ngapi???Ukute unapewa heshima sababu ya bimmer E46,hahah.
Haya magari mazuri sana,ukiyazoea hata toyota unayaona ya kiboya ila sasa likizingua.money pit machines
sas si bora nyie wenye passo wengine tunamiliki baiskel kamongo sijui unaijua??Sasa wenye passo taambia nini watu[emoji23][emoji23]
Haya magari mazuri sana,ukiyazoea hata toyota unayaona ya kiboya ila sasa likizingua.
Garage yalikua linakuja benzi limepita kwa kila fundi dar na limewashinda.imagine hela unayo ya kutengeneza gari lako la kifahari na halitengenezeki tena tatizo la kawaida tu.
Nyie muwe na kambi lenu jingine🙌
jeep ni myama pia,inakaribia levo hizo za akina bm na akina audi,
sas si bora nyie wenye passo wengine tunamiliki baiskel kamongo sijui unaijua??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.
Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!
Ulishawahi miliki hao wanyama?Hahah unaongelea bmw/benz gani hio?Maana hayo yote uliyoyasema sikuwahi kuya experience mzee baba.
Ulishawahi miliki hao wanyama?
Hujajiselfisha kweli ?😀😀 au simu ilikuwa mbali
Omba ukae kwa usukani mzee baba.gari zitooo...lolSijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.
Portfolio | 2020
Hata kapicha kake basi tuhamasike madam.
Gari ipo 130 speed lkn kama vile ipo speed 60.yani auhisi kwamba ipo speed kubwa, very stability kwenye speed,aihami hata chembe
Sent using Jamii Forums mobile app