Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!

Hongereni!

BMW ni afadhali kiasi fulani

Mercedec Benz ipo higher end zaidi

Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!

BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!

Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!

Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!
 
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost

Thats the truth [emoji122][emoji122][emoji122]
Ukiagiza inachukua muda sana mpk kuharibika kitu chochote(kwa mtumiaji mzuri)
Mimi nimekaa zaid ya mwaka na nusu sijawah kanyaga garage zaid ya service ila mzee sahiz imeanza sasa kunionesha nini maana ya BMW
Kitu kidogo tu gari inakutolea M za kutosha
 
There you are..nimeshangaa sana kuona thread ya BMW.
BMW ni afadhali kiasi fulani

Mercedec Benz ipo higher end zaidi

Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!

BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!

Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!

Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1373539

Hahah sikuwahi kujua kuna tajiri anakaa tabata kwny njia choka mbovu nikajua jamaa anaishi zake Masaki huko,sijui GMC inafikaje huko tabata madongo kuinama.

Tajiri badala apeleke gari Pale Toyota/CMC anaulizia mafundi wa bei chee,hahahah.
Hahahahahahah mambo kwa Ground ni bad newz!
 
BMW ni afadhali kiasi fulani

Mercedec Benz ipo higher end zaidi

Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!

BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!

Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!

Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!
Umeomgea vizuri sana! Ukikuta the same model series ya Mercedes Benz na BMW bei yake huwezi ilinganisha na BMW! Kama ulivyosema hata hapa Bongo wazee waliowahi kuwa nazo au heshima fulani katika jamii ndo utakuta wanaendesha Mercedes Benz zile za zamani! Vijana kizazi kipya wengi wanaendesha BMW! Mercedes Benz moto wake mkubwa! Asante sana mdau kwa ufafanuzi!
 
Back
Top Bottom