King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wenye passo taambia nini watu[emoji23][emoji23]
Tena tulitamani funguo ziwe kubwa tuzivae shingoni kabisa basi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tu
watu hawaogopi gar, watu wanaogopa mantainance yake yan ulaji wa mafta,vipuri n.kInashangaza sana watu wanavyo ogopa hizi gari,
Ninayo rav4 diesel auto 2012 uk specKuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite [emoji3][emoji3]
Tugari tudogo honi inapigwa na tumbo.[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]dadeq watu wenye vipaso na vi ist na vi spacial and the likes asee mnaboa mkiwa lami yaan sio poa yan kdogo tu hujakaa vzur unaona lupasso huloo lumechomekea, ile unalukwepa unakuta luvitz nalo kulia lumeshasogeza pua yake yaan fujo fujoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku haya magari kuna mengine spear mpaka uweke order kiwandani,kama ukikosa mtumba(used),akat wale wenzangu wa ist spark plug ya 40k tu unapark gari daah[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kulinunua ni rahisi sana ila runing cost zake si mchezo kabisa. Kila kitu chake ni ghali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Brevis ile Benz la mjapani 😀BMW uzuri wake uimara na kutulia barabarani lakini hazina finishing ya kuvutia, hata ndani ukianzia dashboard, viti na maeneo mengine hazikamatiii brevis...
Ila ukiwa unaiendesha inavyotulia kwa barabara na ile kuchanganya mwendo upesi ndio mzuka wenyewe.
Hii ni kwa uzoefu wangu wa 320i
Huu ni uzi unaohusu hiyo gari.🤣🤣🤣!...niambiwe najimwambafy? Kitu cha bmw x6!dadeq...
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.
Portfolio | 2020
Alikuwa moshi kukanyaga mafuta, baada ya hapo taarifa zake hazikujulikana, ila hakuagwaWapi kidukulilo?
Noma sana!Naona umezungumzia taxi cab.
Ushawahi kufika Ujerumani?
Magari mengi yanayotumika kama taxi Ujerumani ni Mercedes [mostly E-class] na BMW [emoji1].
Wahenga walisema tembea ujionee!!
Hakika kutembea [kwa maana ya kusafiri sehemu mbalimbali duniani], unajifunza mengi sana.
Wengine wanaona gari fulani ni la kifahari [bila kujalisha model] huku wengine wakiyatumia hayo magari ya ‘kifahari’ kupigia kazi.
Habari ndo hiyo. Ukienda Ujerumani ukikodi taxi waweza panda Benzi au Bimmer [emoji1].
BMW ni gari ambalo linaweza kuwa considered ni ‘luxury’ lakini siyo ‘exclusive’.
Na ndiyo maana ukienda kwenye nchi zilizoendelea barabarani utayaona yako mengi tu kama vile ambavyo Toyota IST zilivyo nyingi Dar.
Kwa hiyo hujakosea sana unavyoyaona hayo magari kuwa ni kama taxi.
Ujerumani hayo magari hutumika kikweli kama taxi.
Hizo ndio Gharama za kumaintain ujiko kitaani!
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!