Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!
Toyota ni usafiri wa kutoka sehemu A kwenda B,ila bmw,benzi ni zaidi ya usafiri you feel good ukiendesha.

Bmw unaweza ukawa bored tu ukaamua kuliwasha gari lako na kuzurura na ukaskia raha sana.

Kama pesa unayo ni magari matamu sana and its worth it
 
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]dadeq watu wenye vipaso na vi ist na vi spacial and the likes asee mnaboa mkiwa lami yaan sio poa yan kdogo tu hujakaa vzur unaona lupasso huloo lumechomekea, ile unalukwepa unakuta luvitz nalo kulia lumeshasogeza pua yake yaan fujo fujoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.
Halafu nijuavyo mimi mtu mwenye gari aghali sana hawezi kuchomeka mbele ya gari nyingine.
 
*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

Jr[emoji769]
Duh pole yao.
 
Mkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.
Halafu nijuavyo mimi mtu mwenye gari aghali sana hawezi kuchomeka mbele ya gari nyingine.
hapa town hv vigari vipo vingi zaid ya boda boda,,, na ndo vina tabia ya kuchomekea vikiwa lami...huwez kuta mtu anaendesha AUD,Range,Jeep au Discovery akakuchomekea hata kuwe na foleni kias gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni BMW X1, Hapo ni karibu na Lamadi. Kutoka Dar kwenda Musoma
 

Attachments

  • IMG_20200212_160409_657.jpg
    IMG_20200212_160409_657.jpg
    299.6 KB · Views: 14
Kama gari INA speed 240km/hr ukitembea hadi 180km/hr ni kosa? Hii ni Serengeti. Ukiiga ukafa usinitaje. Kumbuka hii ni BMW sio Vutz sorry Vitz au Crown!
 

Attachments

  • VID_20200212_104923.mp4
    23.2 MB
Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.
 
Back
Top Bottom